• 6 years ago
Wanaharakati nchini wamekashifu vitendo vya serikali kuu dhidi ya mahakama haswa kuhusiana na uteuzi wa majaji 41. Wanaharakati hao wameshikilia kuwa hatua ya serikali kuu kutafuta sababu za kudhalilisha uhuru wa mahakama huenda ikasambaratisha kazi za mahakama kote nchini.

Recommended