Familia Moja Katika Eneo La Merewet, Kaunti Ya Uasin Gishu Inakadiria Hasara Kufuatia Migogoro Ya Ardhi Iliyopelekea Mahindi Kutoka Ardhi Yao Ya Ekari 20 Kung'olewa Na Yule Anayesemekana Kujaribu Kunyakua Shamba Lao. Kwa Mujibu Wa Philemon Meli, Mtu Huyo Amekataa Kufuata Agizo La Mashtaka Na Kusema Atafanya Juu Chini Ili Kuwaondoa Kwenye Shamba Hilo…