Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Wakaazi Waliofurushwa Kutoka Kwenye Ardhi Inayodaiwa Kumilikiwa Na Mamlaka Ya Ustawi Na Maendeleo Ya Mto Tana Na Athi, Katika Eneo La Mumoni Kaunti Ya Kitui Wanadai Kuwa Serikali Ya Kaunti Hiyo Imewapa Msaada Wa Unga Wa Mahindi Uliooza. Takriban Familia 600 Zilifurushwa Kutoka Kwa Ardhi Hiyo Wiki Jana, Huku Janga La Kibinadamu Likinukia Kutokana Na Uhaba Wa Mahitaji Muhimu Ya Kimsingi.

Category

🗞
News

Recommended