Huenda Maafisa Wa Polisi Hawataruhisiwa Kuoana Kuanzia Mwezi Julai Ikiwa Kanuni Mpya Zinazopendekezwa Zitaanza Kutekelezwa. Waziri Wa Usalama Fred Matiang'i. Hatua Hiyo Kwa Mujibu Wa Matiangi Imechukuliwa Baada Ya Visa Vya Vifo Vya Polisi Wapenzi Kuongezeka. Matiang'i Hata Hivyo Alifafanua Kuwa Kanuni Hizo Mpya Hazitaathiri Maafisa Ambao Tayari Wameoana Na Tayari Wana Familia. Ikiwa Kanuni Hizo Zitaanza Kutekelezwa Basi Waziri Alionya Maafisa Ambao Wanapanga Kuoana Kutafuta Wachumba Kwingineko Na Wala Sio Ndani Ya Idara Hiyo.