Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Naibu Gavana Wa Kaunti Ya Wajir Ahmed Ali Muktar Ameapishwa Kuwa Gavana Wa Kaunti Hiyo Baada Mohammud Abdi Mohammed Kung'atuliwa Mamlakani Na Seneti. Haya Yanajiri Wakati Mahakama Kuu Ya Meru Imeelekeza Aliyekuwa Naibu Gavana Wa Wajir Ahmed Ali Kutoshika Hatamu Kama Gavana Wa Kaunti Hiyo. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Taarifa Hiyo.

Category

🗞
News
Comments

Recommended