Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Baadhi Ya Wajumbe Kutoka Magharibi Mwa Nchi Wanadai Kuwa Mwekezaji Mmoja Aliapa Kusaidia Kiwanda Ya Mumias Amedinda Kutoa Billioni Tano Kufufua Kiwanda Hicho. Wabunge Hao Wakiongozwa Na Ayub Savula Wamemuhimiza Mwekezaji Huyo Kutokata Imani Na Wakaazi Wa Kakamega Na Kuwasaidia Wakulima Wa Sukari.

Category

🗞
News

Recommended