Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Mshukiwa Wa Mauaji Philip Onyancha Ameondolewa Mashtaka Dhidi Yake Kwa Kesi Moja Ya Mauaji Iliyokuwa Inamkabili. Onyancha Alikana Shtaka La Kumuua Jacqueline Chepngetich Misoi Mnamo Mwezi Mei Tarehe 30 Mwaka Wa 2008 Jijini Nairobi. Onyancha Ameondolewa Mashtaka Hayo Baada Ya Mahakama Kusema Kuwa Hakukuwa Na Ushahidi Wa Kutosha Kubaini Kuwa Alitekeleza Mauaji Hayo.

Category

🗞
News

Recommended