Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Huenda Wakazi Kutoka Kata Ndogo Ya Hulugho, Kaunti Ya Garissa Wakanuafaika Na Mradi Wa Serikali Kuunganisha Umeme Sehemu Hizo Kwa Lengo La Kuimarisha Usalama. Waziri Wa Kawi Charles Keter Amesema Serikali Imetenga Bilioni 1.2 Itakayotumika Kuanzisha Na Kusambaza Umeme Kwa Shule, Nyumba Na Biashara Za Wakazi.

Category

🗞
News
Comments

Recommended