Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Wanaharakati Nchini Sasa Wameibua Hisia Mseto Kuhusiana Na Visa Vya Wakenya Kupotea Na Kunyanyaswa Uarabuni. Wanaharakati Hao Sasa Wameitaka Bunge La Kitaifa Kupitishwa Mswada Utakao Wasaidia Wakenya Ambao Wanafanya Kazi Uarabuni.

Category

🗞
News
Comments

Recommended