Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Mwanamme Wa Umri 22 Amelazwa Hospitali Ya Mwingi Kaunti Ya Kitui Kutokana Na Madai Ya Ukatili Wa Polisi. Kulingana Na Japheth Mutinda, Alibebwa Na Mwendeshaji Wa Bodaboda Baada Ya Kuelewana Kulipa Shilingi Hamsini Ila Alipofikishwa Nyumbani Kwake, Dereva Alimuitisha Mia Moja Ambayo Hakuwa Nayo. Amedai Kuwa Dereva Aliwaita Polisi Ambao Walimfanyia Ukatili Wa Kinyama. Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anatuletea Taarifa Hiyo.

Category

🗞
News
Comments

Recommended