Viongozi Katika Kaunti Ya Uasin Gishu Wanasihi Vijana Wajisajilishe Kama Wapiga Kura Kabla Siku Ya Mwisho Ya Novemba Tarehe 2 Ili Wawajibikie Haki Yao Ya Kidemokrasia. Seneta Wa Uasin Gishu Prof. Margaret Kamar Amewasihi Vijana Wachukue Mujibu Na Kuchukua Kadi Za Kupiga Kura Wakati Huu Ambapo Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka Iebc Inaenda Mlango Kwa Mlango Kusajili Wakenya.