Baraza La Magavana Nchini Linasema Kuwa Kanuni Za Kupunguza Kuenea Kwa Janga La Covid19 Zitazingatiwa Katika Kongamano La Ugatuzi Litakaloandaliwa Mwezi Ujao Kaunti Ya Makueni. Magavana Wanasema Kuwa Watatumia Kongamano Hilo Kuangazia Suala La Mabadiliko Ya Tabianchi Na Utunzaji Wa Mazingira.