• 5 years ago
Wakazi Wa Eneo La Sabasaba Kaunti Ya Muranga Wanataka Usalama Wa Eneo Hilo Kuimarishwa Zaidi.Hii Baada Ya Mwili Wa Mwanafunzi Mwenye Umri Wa Miaka 14 Kupatikana Kando Ya Barabara Kuu Ya Kenol-Sabasaba.

Category

🗞
News

Recommended