Viongozi Wa Chama Cha Odm Kaunti Ya Nairobi Wamesema Hawatashurutishwa Kuunga Mkono Kiongozi Yeyote Hasa Katika Kafasi Ya Ugavana Kaunti Ya Nairobi.Wakiongozwa Na Mbunge Wa Makadara George Aladwa Ambaye Pia Ni Mwenyekiti Wa Chama Cha Odm Tawi La Nairobi,Mbunge Wa Zamani Wa Makadara Reuben Ndolo,Mwakilishi Wadi Wa Upper Savana Stazo Omung'ala Wamekejeli Uzinduzi Wa Azima Ya Ugavana Ya Mwanabiashara Richard Ngatia Na Agness Kagure Wakisema Nafasi Hiyo Itaendea Kiongozi Mwenye Rekodi Bora Ya Maendeleo