Mbunge Wa Kabuchai Majimbo Kalasinga Amemlaumu Waziri Wa Elimu Ezekiel Machogu Kwa Kile Alichokitaja Kama Kuchanganya Maswala Haswa Katika Elimu Ya Sekondari Changa. Mbunge Huyo Amesema Kuwa Sharti Waziri Machogu Aeleze Bunge Sababu Ya Kuzindua Sekondari Changa Licha Ya Uhaba Wa Madarasa Na Waalimu, Jambo Alilosema Limeliacha Taifa Katika Njia Panda.