• 4 years ago
Mbunge Wa Eneo Bunge La Vihiga Earnest Kagesi Ameanzisha Mpango Wa Kuwafadhili Wanafunzi Kutoka Familia Masikini. Kagesi Amechukua Jukumu Hilo Kupitia Fedha Za Ustawishaji Wa Maeneo Bunge Ngcdf Na Kuwafadhili Wanafunzi Zaidi Ya 300 Katika Eneo Bunge Hilo. Hata Hivyo Mbunge Wa Gilgil Martha Wangare Ameinyoshea Wizara Ya Elimu Kidole Cha Lawama Kufuatia Hali Tete Ya Somo La CBC Na Kusema Limekuwa Gharama Kubwa Kwa Wazazi. Wangare Amesema Atawasilisha Mswada Bungeni Baada Ya Kurejelea Vikao Wiki Ijayo Ili Somo Hilo Lliangaziwe Ipasavyo.

Category

🗞
News

Recommended