Chuma Cha Jaji Juma Said Chitembwe Ki Motoni Baada Ya Jopokazi La Wanachama Kumi Na Wawili Lililokuwa Likichunguza Madai Dhidi Yake Kupendekeza Kuondolewa Kwake. Ripoti Ya Jopo Kazi Hilo Iliwasilishwa Kwa Rais William Ruto Katika Ikulu Ya Kitaifa Jijini Nairobi Na Kiongozi Wa Jopo Kazi Hilo Jaji Mumbi Ngugi.