اللَّهُمَّ أَرِنَا الْحَقَّ حَقًّا،
Ewe Allah, tuonyeshe haki kuwa ni haki,
وَارْزُقْنَا اتِّبَاعَهُ،
na uturuzuku kuifuata,
وَأَرِنَا الْبَاطِلَ بَاطِلًا،
na tuonyeshe batili kuwa ni batili,
وَارْزُقْنَا اجْتِنَابَهُ،
na uturuzuku kuiepuka,
بِرَحْمَتِكَ يَا أَرْحَمَ الرَّاحِمِينَ.
kwa rehema Zako, Ewe Mwingi wa kurehemu kuliko wenye kurehemu.